Featured Posts

Tuesday, June 10, 2014

TAJIRI HANA HURUMA:KIGOGO MWENYE V8 AMKOMALIA MLEMAVU ANAEENDESHA BAJAJI AMLIPE 20,000 BAADA YA KUGONGA GARI LAKE


Dereva wa Bajaj akiondoka baada ya kumalizika kwa tatizo hilo.
Fundi akiangalia sehemu ya gari lililogongwa.
Bajaj iliyogonga gari.
Wapita njia wakishuhudia ajali hiyo ndogo.
KAMERA yetu mchana huu imenasa Bajaj iliyokuwa ikiendeshwa na mlemavu ambapo iligonga gari kubwa wakati inarudi nyuma maeneo  ya Posta mtaa wa Samora jijini Dar ambapo mwenye gari alitaka alipwe  20,000/= kwa matengenezo ya gari lake.
Kwa vile mlemavu hakuwa na fedha hiyo, wasamaria wema walimchangia na kulimaliza suala hilo.

TUMEAMIA HUKU