Featured Posts

Thursday, June 5, 2014

MASKINI PENNY YUKO HOI HOSPITALI, WATANZANIA WATAKIWA KUMUOMBEA


Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.

Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye  afya njema

TUMEAMIA HUKU