- Mwanadada Anayekoma na jiji anajulikana kwa Jina la Shilole au ukipenda unaweza kumwita Shishi ,Amenaswa na Camera zetu zetu live akiwachumbani na Serengeti boys Nuh Mziwanda A.K.A Mzee wa Msondongoma wakiwa wanakomaa na jiji kama unavyowaona kwenye picha hapo wakiwa wanadendeka bila uwoga