Featured Posts

Friday, July 4, 2014

TAZAMA PICHA YA CHETI ALICHOTUNUKIWA DIAMOND BAADA YA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME E.AFRIKA

Diamond Platnumz
Baadaya Diamond Platnumz kushinda Certificate of Archievement kwa level ya Platnumz ameweza Kuwashukuru fans zake waliofanikisha kupatikana Tuzo hiyo kwa Kumpigia kura.
diamond certificate
DIAMONDI ASEMA

"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!

TUMEAMIA HUKU