Featured Posts

Sunday, July 6, 2014

TAZAMA JINSI MKIA WA DIVA ULIVOZUA UTATA MTANDAONI

Kama wewe haupendi mambo ya UDAKU na USHAMBENGA....Ishia hapa hapa!!!


Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE BAWSE  alishatangaza kujito TEAM WEMA [SOMA HAPA].....Sasa hao wanaojiita Team wema huko INSTAGRAM  ni nouma sana kwa KUCHAMBA watu.... ( MuulizePENNYWOLPERJOKATE, na KAJALA wanawajua hawa)...Wiki nzima iliopita wapo na DIVA (hadi leo)

 Kwawkifupi  ISHU ilianza mara baada ya DIVA kumsifia Davido kunyakua TUZO za MTV....Sasa TEAM WEMA wakaanza kumDIS DIVA kwa kila kitu...na kuazimia kutohudhuria SHOW yake iliyofanyika BILLZ jumapili iliyopita....Walidis sana picha za DIVA (Kuwa diva ni mbaya ..na picha zake za INSTAGRAM huwa ana EDIT kwanza au kutumia 3600 Camera ndio anaziweka ...lakini ukimuona  LAIVU nitofauti na nimbaya...)

Sasa baada ya kutulia kwa siku moja mbili.....Jana ikaibuka hii....

Diva aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM (Leo nacheki nakuta Diva ameshaitoa...kazi kweli kweli).Nakuandika, watu wamuulize chochote yaan #ASKDIVA


Hapo ndipo moto ukawaka...watu wakaanza!! kuwa diva hana T*ko hilo bali ame EDIT...

TUMEAMIA HUKU