KATIKA fainali za mwaka 1986, Diego Maradona aliifungia Argentina au kutoa pasi za mwisho katika mabao 10 ya nchi hiyo. Mwaka huu, Messi amefunga au kutoa pasi katika mabao 8 ya Arggentina. Maradon pia alikabiliana na Ujerumani (Ujerumani Magharibi kwa wakati huo) katika mchezo wa fainali, lakini hakufunga goli katika mechi hiyo.
LIONEL MESSI - 2006, 2010, 2014
Mechi za WC - 14
Magoli ya WC - 5 (3 pasi za mwisho)
Amegusa mpira mara - 958 (191.6 touches/goal)
Dakika alizocheza - 1170 (234.0 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 22 (44% yalilenga goli)
Wastani wa magoli na umbali- - 22.2 yards (3 magoli nje ya boksi)
Jumla ya mashuti - 50 (22.7% yalienda golini)Wastani wa umbali wa magoli ya kombe la dunia
Maradona na Messi wamfanya kazi yao katika kombe la dunia kwa kufunga kwa kila namna
Kiwango cha Argentina katika fainali za kombe la dunia uliwalinganisha - Maradona '86 vs. Messi '14
Magoli: Maradona (5) - Messi (5)
Pasi za mwisho: Maradona (4) - Messi (1)
Magoli ya timu: Maradona (14) - Messi (8)
Wastani wa mabao ya timu: Maradona (71.4%) - Messi (63%)
Makombe ya kombe la dunia: Maradona (1) - Messi (TBD)
Pasi za mwisho: Maradona (4) - Messi (1)
Magoli ya timu: Maradona (14) - Messi (8)
Wastani wa mabao ya timu: Maradona (71.4%) - Messi (63%)
Makombe ya kombe la dunia: Maradona (1) - Messi (TBD)
Idada za mechi walizocheza kwa wakati wote.
1. Javier Zanetti - 1452. Roberto Ayala - 115
3. Diego Simeone - 106
4. Javier Mascherano - 104
5. Oscar Ruggeri - 97
6. Lionel Messi - 92
7. Diego Maradona - 91
8. Ariel Ortega - 87
9. Gabriel Batistuta - 78
10. Juan Pablo Sorin - 76