Featured Posts

Monday, July 14, 2014

PICHA ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA VICTORIA KIMANI FT DIAMOND&OMMY DIMPOZ-PROKOTO

v9

Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku chache toka wimbo utoka. Video imefanyika July 11 2014 Dar es salaam Tanzania iliongozwa na Director kutoka Kenya Kevin Bosco.
v1v3v4v6v7v9v10v11v12v13v14

TUMEAMIA HUKU