Naye Horaw Pierre wa ufarasa alifanya
utafiti katika jiji la maraha kuzidi majiji yote duniani "Paris" na
kubaini kuwa wanawake wengi wenye mapozi wanapendwa sana na wanaume
lakini wengi wa wanawake hao wanaolewa lakini ni wepesi sana wa kuachika
kutokana na fikra zao za kujihisi kuwa wao ni wazuri na kufanya kiburi
kwa waume zao. Pia naye Ching Annig wa china alibainisha katika utafiti
wake kuwa lisha ya kupedwa na wanaume wengi pia wanawake hao wenye
mapozi ni wataalam sana wa kula chakula cha usiku kuliko wale ambao
hawana mapozi.
Je wewe mfuatiliaji wa
mblogu hii unasemaje juu ya suala hili ni kweli wanawake wenye mapozi
wanapendwa na wanume zaidi ya wale ambao hawana mapozi?