Sababu
kubwa imeelezwa kuwa binti huyo ambaye ni muislamu alikataa kata kata
kwenda kuhudhuria misa kanisani. Msimamo wa binti huyo ulimpelekea
kipigo kikali, na hata mashuhuda walioshuhudia kipigo hicho cha kikatili
kwa huyo binti.
Mke wa Mbunge inasemekana aliwajibu mashuhuda kwa lugha ya kejeli na kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani serikali
Mke wa Mbunge inasemekana aliwajibu mashuhuda kwa lugha ya kejeli na kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani serikali
ni yao, na CCM ndiyo inayoongoza dola, kwamba mahakama yetu, polisi wa kwetu, hakuna kima atakayenigusa. Alifoka mke wa Chami.