Featured Posts

Sunday, July 6, 2014

MCHEKI DOGO JANJA HAPA AKIWA NDANI YA SARE ZA SHULE YA SEKONDARI


Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' kutoka Ngarenaro. ABDULAZIZ Chende ndilo jina lake halisi alilokuja nalo jijini Dar es Salaam akitokea Ngarenaro, kule mjini Arusha, lakini wajanja wa mjini wakambatiza kama Dogo Janja, ambalo kwa kweli limemkaa vyema. Ni bwana mdogo kweli, siyo tu kwa umri, bali hata sanaa aliyoichagua. Ni kijana ambaye kwa jinsi watoto wa Dot.com walivyo, alistahili kuwa kidato cha kwanza, pili au hata cha tatu. Ulimwengu wa Bongo Fleva, ulimtambua baada ya kutambulishwa na Kundi la Tip Top Connection, kupitia kwa kinara wake, Madee.…

TUMEAMIA HUKU