Featured Posts

Wednesday, July 9, 2014

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAPENDA UUME MKUBWA SIRI YOTE HII HAPA




mwanaume amekaririwa akisema kuwa ""Mimi ni mwanaume ambaye natambua kuwa sina uumem kubwa lakini kila

mpenzi ninayekutana naye anashangaa kuona kuwa ninaweza kumtosheleza tofauti na alivyotarajiaMara nyingi ninapoongea na wanawake nimekuwa ninapata maelezo kuwa wangependa kupata mwanaume mwenye UUME mkubwa kuliko mwenye UUME
mdogo ili kufaidi tendo la ndoa.Naomba wanablog hii, hasa wanawake mnielimishe, kwa nini wanawake wengi wanapenda wapenzi wenye UUME mkubwa kuliko wale wenye UUME mdogo?"" 
Na wale wanaume wenye UUME mdogo wanatakiwa wafanye nini ili kuwatosheleza vizuri wapenzi wao? Mimi naona wanawake wengi wanakosa wanaume wabunifu kunako sita kwa sita.

TUMEAMIA HUKU