Featured Posts

Monday, July 7, 2014

KUTANA NA BINTI MREMBO ANGE KAGAME AMBAYE NI MTOTO WA PEKEE WA KIKE WA RAISI WA RWANDA PAUL KAGAME

Huyu anaitwa Ange Kagame mtoto wa raisi wa rwanda, familia yao ni yenye furaha ambapo ana kaka zake wawili, ukimtazama urefu ni zaidi ya unavyomuona baba ake kwaniange ni mrefu sana kwaa hapa tanzania kidogo tunaweza kumpima na mchezaji Hsheem Thabeet kwa urefu, dada huyu pia unaweza kusoma maisha yake kwa ujumla kupitiamtandao wa wikipidia

Ange Kagame akifulaia jambo na mama yake

hapa akishiriki matembezi pamoja na wanachi wa kawaida

akihamasisha upandaji wa miti

akimpa kampani baba yake kupokea wageni wa kimataifa

Ange akitafakari jambo na rafiki yake

TUMEAMIA HUKU