Featured Posts

Tuesday, July 8, 2014

HIZI NDIO PICHA ZA OFISI YA WEMA SEPETU "ENDLESS FAME FILMS" INAVYOONEKANA KWA NDANI


Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.

Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.

Washing room 
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge. 
 
Ofisi ya EFF 
Meza ya editor 

Kuelekea EFF 

Ofisi ya sekretari wake 
Reception 
Waiting Lounge 

 

TUMEAMIA HUKU