Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...
Thursday, September 11, 2014
UKWELI MTUPU HUU: UKUBALI AMA UKATAE..HAKIKA BILA HAWA WATU WATATU.. CLOUDS FM LAZIMA ITAPOTEZA MASHABIKI WAKE,
10:27 AM
Hatimaye watangazaji wa Clouds FM, B12, Adam Mchomvu na DJ Fetty wamerejea tena hewani baada ya kuwa kimya kwa wiki kadhaa kutokana na tetesi kuwa walikuwa wamesimamishwa kazi