Featured Posts

Thursday, September 18, 2014

TAZAMA PICHA , KAMA VICHENI PATI VYENYEWE NDIO HIVI, SIJUI BI HARUSI ANAFUNDISHWA NINI

Hii ni sehemu za baadhi ya picha zilizoonesha nini kilichofanyika katika ukumbi wa Theophilo Kisanji Tabora ikiwa ni moja ya Show zilizoambatana 


na Shindano la kumsaka Miss & Mr.Kamna 2013 

Haikuwa salama hata kidogo kwa baadhi ya wanaume walioingia katika ukumbi wa Theophilo Kisanji.

Umati mkubwa uliofulika katika ukumbi huo wakishangazwa na Show ya Khanga Moko laki si Pesa.

TUMEAMIA HUKU