Featured Posts

Tuesday, September 16, 2014

TAZAMA HIZI HAPA , HUSIPO CHEKA NARUDISHA BANDO LAKO LOTE


 

HAHAHAHAHA !! Kweli hii noma sana hata kucheka sasa haifai zaidi ya Kushangaa.


 
Yap ! Kama vile wewe unavypenda Starehe zingne pia Bibi Huyu anapenda sana Weed/Ganja a.ka Bangi.

 
Haya Ni Mambo Ambayo hukufahamu kuwa yapo lakini Kuna Mitaa ambayo imeshayazoea.



 
 Duuh !! kweli ya dunia mengi huyu kaiba wameamua kumchemsha kwenye mafuta.

TUMEAMIA HUKU