Featured Posts

Wednesday, September 17, 2014

TAZAMA AUNTY EZEKIEL AKILA BATA KWA OBAMA NCHINI MAREKANI, SOMA HAPA ZAIDI


Hapa Aunt Ezekiel akipta ukodak na mashabiki wake Rose Millo kushoto na Alpha kulia Nyumbani kwa Ny Ebra. Rose na Alpha ni wageni wa Ny Ebra kutoka Tanzania wapo New York kikazi na walifurahi sana kukutana na Aunt Ezekiel na kupata fursa ya kupata ukodak.
Ros na Alpha pia wakipata ukodak na Cassim Mganga tajiri wa mahaba kiroho safi.
Ni mambo ya Ukodak wa vijimambo hayo live bila chenga.
Kila mmoja akionyesha smile yake mbele ya ukodak.


Dj Luke nae akipata ukodak na Aunt pamoja na Deborah kiroho safi.
Salimu Akida katikati

TUMEAMIA HUKU