Featured Posts

Friday, September 12, 2014

Tatizo ni Anaconda? Mkuu wa shule aliyosoma Nicki Minaj amkatalia kuongea na wanafunzi wake

Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika
mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa
shule aliyosoma.
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya
mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la
kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-
inspire wafanikiwe kama yeye.
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj
sio mtu sahihi wa kuwa-inspire wanafunzi wake
kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’ aliyoitoa
hivi karibuni.
Hizi ni baadhi ya tweets za Nicki akionesha
masikitiko yake baada ya kunyimwa nafasi hiyo.

TUMEAMIA HUKU