Featured Posts

Friday, September 12, 2014

NOMA SANA MSANII ANASWA AKINONIINO NA KAHABA NDANI YA GARI LAKE



Mchizi siku hizi kaibukia kwenye ulevi na mambo yasiofaa 
mwandishi wetu alimuibukia katika onesho la Kundi la muziki wa kizazi kipya la TMK Wanaume Family.Man X akiwa na ‘kidosho’ wake walianza kuonesha dalili za kufanya uchafu huo majira ya saa tatu usiku ambapo walikuwa wakikandamiza bia ‘kwa kwenda mbele’ huku wakikumbatiana na kupeana mabusu motomoto hadharani kiasi cha kuwafanya watu waliokuwa wakiwatazama kupigwa na butwaa.Mashuhuda waliokuwa eneo hilo walidai kuwa majira ya saa 8 usiku, Man X na demu wake walitoka nje ya ukumbi na kuingia kwenye gari yao ndogo aina ya Toyota Baloon yenye namba za usajili T 558 AJG huku wakiwa hoi kwa kilevi.“Walipoingia ndani ya gari, walifunga milango na kushusha madirisha kidogo, kisha kuanza kupeana ‘malavidavi’ ya nguvu,” alisema shuhuda mmoja.Baada ya kumaliza walichokuwa wakikifanya huku wakiwa ‘hoi bin taabani’, wawili hao walijikuta wakichukuliwa na usingizi mzito huku wakiwa wamekumbatiana kwa pozi za kimahaba (kama inavyoonekana pichani ukurasa wa mbele).Kufuatia kuchukuliwa na usingizi mzito, baadhi ya ‘wahuni’ walianza kulizengea gari lao ili kuwafanyia kitu mbaya, ambapo walikomba simu na kuzamia gizani kwani wasamaria wema na walinzi walifika eneo hilo.Ilichukua muda kwa wawili hao kuzind

TUMEAMIA HUKU