Featured Posts

Friday, September 12, 2014

KWELI WATU WANA VITUKO..HEBU CHEKI HAWA JAMAA WALICHO KIFANYA HUSIPOCHEKA BASI WEWE WAUMWA AISEE

Jamaaa yupo kiabiashara zaidi na new style ya surual "DOUBLE BELT"
picha A                                       picha B 
Sasa hapo kwenye picha A ukiangalia kwa kukurupuka unaweza ukazan ki2 kinghine kabisa ambacho hakikualengo kamili la picha hiyo.
hapo sasa utata tupu kwenya picha B

Mambo ya uswahilini sasa Jamaa kashikwa UGONI anatembezwa UCHI mtaa mzima sasa hapo ndio utajua mke wa m2 sumu jamaa kawa mdogo kama piriton vle

TUMEAMIA HUKU