Featured Posts

Sunday, September 21, 2014

KWELI WANAUME HAWAJUI KULEA.. TAZAMA MSAMII HUYU ALIVYOKATIZA KITAA AKIWA.KAMBEBA MWANAE.. NI VIYUKO AISEE

Omarion ni baba mwenye furaha na ndio maana
hivi karibuni alionekana akitabasamu tu akiwa
amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa
mwezi mmoja, Megaa Omari Grandberry.
Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la B2K,
alikuwa usiku akiwa na mama wa mwanaye, Apryl
Jones huko Hollywood.
Tatizo ni jinsi alivyombeba sasa!!

TUMEAMIA HUKU