Featured Posts

Saturday, September 20, 2014

KAMA ULIKUWA HUJUI NI KWAMBA ALI KIBA ANA WATOTO WATATU NA HAWA NDIO MADEMU ALIOZAA NAO AKIWEMO

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake. 
  
Akizungumza na paparazi kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo  Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake.

TUMEAMIA HUKU