Featured Posts

Friday, September 12, 2014

JUX AFUNGUKA KUHUSU KUMUIMBIA WIMBO VANESSA MDEE

Mwanamuziki wa Bongo Flava Jux Amezikana Tetesi kuwa Wimbo wake Mpya 'Sisikii' amemuimbia Vanessa Mdee ambae inasemekana kwa sasa ni Wapenzi ,
Jux Ameambia Udaku Special kuwa Nyimbo zake zote alizowahi kuzitoa sio maalum kwa ajili ya mtu bali amezitunga tu na hazihusiani na Maisha yake

TUMEAMIA HUKU