Featured Posts

Tuesday, September 2, 2014

JINSI NICKI MINAJI ANAVYOJIACHIA KWA KUKAA UTUPU, UTASEMA HANA WAZAZI, LAKINI NI TOFAUTI, MTAZAME HAPA MSHUA WAKE PAMOJA NA DADA ZAKE

Wazungu ni balaa mshipa wa aibu ulishawatoka ni mwendo wa utandawazi tu, kwa jinsi wasanii wa kike wa marekani wanavyojiachia kwa kukaa nusu utupu wengi ujikuta wakihisi kwamba wasanii hawa hawana wazazi au hawana watu wa karibu mfano baba, mama, au dada na kaka pia, lakini hii ni tofauti na watu wengi wanavyofikilia,  kama ilivyo kwa msanii rihana basi nick minaji yuko na baba yake ambaye anampenda sana na amekuwa akienda kumtembelea nyumbani kwake mara kwa mara, na pia Nicki ana dada zake wawili ambao wanaonekana ni watu wa heshima kutokana na mavazi yao wanayoyavaa, dah kweli wenzetu wanaheshimu kazi za watu kwa hiyo kukaa kwake uchi ni kazi tu na sio kwamba ana laana ya wazazi kama wengi wanavyohisi





TUMEAMIA HUKU