Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme,Bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.
Wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.
Kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga