Featured Posts

Wednesday, September 10, 2014

Hawajawahi kutokea video vixens kama hawa afrika mashariki…

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.
Cynthia-Masasi-Copyright-www-vibe-co-tz
Vera Sidika (Kenya)
Nadhani kila mtu atakua ameiona video ya you guy waliofanya P-UNIT , video iliyokua na utata mkubwa hadi kusababisha kufungiwa huko nchini kenya na mmoja wa model katika video hiyo ni Vera sidika. Hivi karibunu Vera lionekana kwenye video ya my gal ya prezzo.Vera-sidika-www-vibe-co-tz
Agnes gerald  / Masogange (Tanzania)
Tunaweza kusema huyu anaweza kuwa ndio vera sidika wa kibongo , japokua ni video moja iliyomtoa ambayo ni video  ya belle 9 iitwayo masogange. Masogange pia alitokea kwenye video ya msambinugwa aliyoimba tundaman na ali kiba.
Masogange-Copyright-www-vibe-co-tz
Sharleen Chelangat (Kenya)
Huyu a aliku a mwanafunzi kutoka Daystar University nchini Kenya. Video iliyomtambulisha ni ya Give it to Me  aliyoifanya MilitarySwaggTeam  akimshirikisha  Kanja na  Bigsoul.
Sharleen-Chelangat-copyright-vibe-co-tz
Jack Cliff (Tanzania)
Hakuna mtu ambae hadi sasa hajawahi kuona video ya nataka kulewa ya diamond platnumz, basi kama ulikua haujuwi jack cliff ndio alipamba video hii. pia yupo kwenye video mpya la linex kimugina.
Jack-Cliff-Copyright-www-vibe-co-tz
Risper Faith (Kenya)
Huyu naye ni video vixen mwingine anayekuja kwa kasi sana nchini kenya. Anajulikana sana kwa jina la  Lady Rispah na video yake latest kuwa featured ni ya Octopizzo inayoitwa  Nini. Hii ndio professional video yake ya kwanza kutokea kwa mwanafunzi huyu wa Mount Kenya Unniveristy.


Risper-Faith-Copyright-www-vibe-co-tz

TUMEAMIA HUKU