Featured Posts

Wednesday, September 3, 2014

HATIMAYE HAMISA MOBETO AMUANIKA HADHARANI MPENZI WAKE, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA

Kwa mara ya kwanza video queen wa bongo ambaye watu wametokea kumpachika jina la mdoli kutokana na mvuto alionao na sura yake kuwa nyororo bila ya kovu lolote, amemuweka hadharani kidume anayemdadavua ametupia picha instagram akiwa amepozi naye kimahaba, hivyo kufuta uvumi uliokuwa umezagaa juu ya kutoka na dj Choka

TUMEAMIA HUKU