Unapozungumzia wadada waliokuwa na mvuto miaka kama saba iliyopita ni ukweli husiopingika kwamba huwezi kuacha kumtaja mwanadada ray c ambaye kutkana na uzuri na mvuto wa kimahaba pamoja na sauti nyororo aliyokua nayo watu waliamua kumuita kiuno bila mfupa, sema kila kiu kina wakati wake, big up ray c ama hakika ulikimbiza sana bhana enzi zako ulikua talk of the town
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...