Ebwana huyu mtoto recho wa THT ni hatari sana aisee show zake ni hataree sana akikuchagua kukukatikia lazima ufaidi miuno yake kweli kweli, hii show bwana alimzimia huyu raia wa kigeni wacha amsugulie sasa huku kitu cha nashukuru umerudi cha mwanadada huyo kikiwasindikiza taratiiibu, mhindi acha adate
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...





