Featured Posts

Wednesday, September 3, 2014

DAAAH KWELI MTOTO DAYNA NYANGE MKOROGO UMEITIKA, TAZAMA PICHA KAMA MZUNGU VILE

hatimae msanii Dyna Nyange Afunguka Live!!!jana kupitia kipindi cha Full anyemo Xclusive,kirukacho ndani ya 97.7Nyemo Fm Radio na Kukiri kua Matei Lounge&CarWash ndio kiwanja pekee cha kujidai Ndani ya Dodoma kwa sasa!Hivyo basi Tukutane Wote Ijumaa Hii Tukaizindue Rasmi Matei Lounge&Car Wash,hku tukipata Burudani Safi toka mkubwa na Wanawe~YAMOTO BAND na Mkali Toka Dom ONE SIX,Bila kusahau kwa stage host n baba Boy @WINSTON MAKANGALE & BOSS NGASA TZ......Hivyo Tu

TUMEAMIA HUKU