Featured Posts

Sunday, September 21, 2014

BAADA YA KUANDAMWA SANA,MOZE IYOBO AAMUA KUMKANA MKE WAKE ILI AMCHUKUA ANTI EZEKIEL KAROHO SAFI

MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa  hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi.
‘Moze Iyobo’ akiwa na familia yake.
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa ndege.
Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.
Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.BA

TUMEAMIA HUKU