Featured Posts

Saturday, September 13, 2014

APEWA KICHAPO CHA NGUVU BAADA YA KUJARIBU KUTAKA KUIBA LAPTOP, SOMA HAPA


Hii hutokea sana hasa katika maeneo karibu na vyuo ambapo wengi hujifanya wanachuo na kuingia katika campus hizo kumbe ni wezi hatari.
Hiki kichapo kiwe fundisho kwa wenye tabia hiyo.

TUMEAMIA HUKU