Featured Posts

Thursday, August 14, 2014

UWIII. UNAJUA KWA NINI MSANII HUYU HARIDHIKI TENDO LA NONIINO SOMA HAPA AKIFUNGUKA

Staa wa filamu ambaye anashika
nafasi ya kwanza kwa kufungasha
Tanzania nzima, Efranciya Mangii
ameibuka na kupasua jipu kuwa licha
ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini
hakuna mwanaume aliyewahi
kumridhisha kimahaba ( kumfikisha
kileleni).
Akiteta nasi jijini Dar es Salaam, Efranciya
ambaye amewahi kukumbwa na skendo ya
kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa
wanawake ( Usagaji ) alisema kila mwanaume
anayekuwa naye hamfikishi popote…. “Sijawahi na bado siamini kama naweza
kupata mwanaume anayeweza kunifikisha
kileleni na hatimaye kunifanya niyafurahie
mapenzi. Hata hivyo, ntafanyaje na mimi
nimeumbwa hivi? Kikubwa ni kwamba nimezaa
na ninajisikia faraja sana,” alisema Efranciya. Msanii huyo aliyeibukia kwenye shindano la
Maisha Plus na kujizolea umaarufu mwingi,
alieleza kwamba hajawahi kujihusisha na
usagaji na daima hatathubutu kufanya hivyo.

TUMEAMIA HUKU