"Nashukuru umenisikiliza my ndugu Le Big show Le Mutuz nilikwambia na kila siku nikiongea na wewe nakwambia, achana na vinuka mkojo wa mitaani , unakaa na watu wasiongea mambo ya maana kuanzia asubuhi wakiongea la maana ni ku snitch mtu,wewe ongea na matajiri wakuambukize harufu nzuri ya ankara sasa nakuona jinsi unavyo shine, mie tangu nijue hiyo kanuni sipati shida na mtu nni mwendo wa salamu,Big up na endelea kunisikiliza utapata mengi ......"SINTAH






