KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina
moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini
Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye
Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack
wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi
Mungu. Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu
na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa
12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa Jack
alikuwa chumbani na mwanaume huyo
ambaye ni mpangaji, wenzake wakipeana
maraha. Imedaiwa kuwa , wawili hao
walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka
kwenda katika shughuli zake, Jazira
alikuwa akizama katika chumba cha rafiki
yake na kufanya mchezo wa kikubwa