Featured Posts

Thursday, August 14, 2014

LIVE KUTOKA MSIBANI MOROGORO, TUNAKULETEA PICHA ZA MSIBA WA MAMA TUNDA , MKE WA AFANDE


Kila nafsi itaonja umauti katangulia mbele ya haki mama tunda tuchukue muda huu kumuombea dua MUNGU ailaze roho ya marehem paala pema amina pia namuomba MUNGU ampe moyo wa subira baba tunda afande sele kwa kipindi hiki kigumu inshaallah

TUMEAMIA HUKU