kama wewe ni shabiki wa hiphop na mpenzi wa Fid Q basi usikose hii leo club 327 atadondosha bonge la show la kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikua jana,
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...