Featured Posts

Thursday, August 14, 2014

YASEMEKANA ETI MME WA FLORA MBASHA NA STAA HUYU BONGO MOVIE SIO SIRI TENA MAPENZI YAO

msanii wa bongo movie anaejulikana kwa jina la irene paul amepost picha akiwa na mume wa flora mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao ni wapenzi kwa sasa, hata hivyo irene paul hakuweza kuwajibu mashabiki wake hvyo wengi kubaki njia panda


TUMEAMIA HUKU