BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ametangaza
dau la shilingi milioni moja kwa yeyote
atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake
aitwae Vanila aliyepotea hivi karibuni. Akielezea ishu hiyo, Wema alisema mbwa huyo
alikuwa na mwenzake akiishi nao nyumbani kwake
Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo juzikati
alikorofishana na mwenzake aitwae Thiona na
kuamua kutokomea kusikojulikana.