Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa
na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa
mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana
mikoa mbali mbali kwa biashara zake.
Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa
vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time
nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada
ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.
Jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause
hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto
wa watu, je nifanyaje nimwache?