Featured Posts

Friday, September 5, 2014

UPEPO MKALI WATISHIA AMANI ENEO LA POSTA DAR

KAMERA ya GPL imeshuhudia uzio wa mabati
uliozungushiwa katika kiwanja kimoja
kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka
baada ya upepo mkali kuvuma . Uzio huo
haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na
wale waliokuwa jirani na eneo hilo.

TUMEAMIA HUKU