Featured Posts

Sunday, September 7, 2014

UNAMJUA MWANAMKE TAJIRI KULIKO WOTE AFRICA, NI WA KWANZA KUITWA BILIONEA AFRICA




Isabela do santos ni mwanamke wa umri wa miaka 40 , na ni mtoto wa kwanza wa rais wa angola Jose eduardo do santos yuko katika bodi ya direkta wa makampuni mbalimbali mjini luanda Angola na pia katika makampuni mbalimbali ya huko ureno ikiwemo mabenki makubwa, na pia ana isa katika kampuni za cement za angola ikiwemo ile ya Banco na africano de investimento, kabla ya kuwa katika kampuni his amesoma uingineer katika chuo kiitwacho king's college jijini london uingereza na kuanza kujihusisha na bihashara akiwa na umri wa miaka 24. kwa sasa anamiliki $1 billion hivyo ndiye mwanamke wa kwanza africa kuitwa bilionea

TUMEAMIA HUKU