Featured Posts

Wednesday, September 3, 2014

UMEYAONA MAKALIO YA KICHINA YA MAIMARTHA ? WATU WAMKOMALIA

KUTOKANA na kubadilika kimuonekano na kila
kukicha makalio kuzidi kuwa makubwa ,
mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse
amenangwa kwamba anatumia dawa za
Kichina kuyaongeza ukubwa .
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse.
Tofauti na alivyokuwa zamani , Maimartha kwa
sasa anaonekana kuwa na makalio makubwa
hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau
wake wa karibu na kusema kwamba
mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza
makalio kwani yeye mwenyewe anaziuza
dukani kwake .
“ Yaani Maimartha anashangaza kweli kwani
kila kukicha makalio yanaongezeka wakati
zamani alikuwa mwembamba pia hivi sasa
anaonekana kuwa ana shepu , kwanza kuna
wakati hayampendezi, ” alisema mdau mmoja
pasipo kutaja jina .
Maimartha alipoulizwa kuhusu ishu hiyo
alisema: “ Jamani nimeridhika tu na maisha
yangu situmii dawa za kuongeza makalio . ”

TUMEAMIA HUKU