Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho kinahusu nini lakini itaelekea kitakua si tu kuhusu Diamond bali Tanzania kwa ujumla baada ya Diamond kuanza kurekodia kipindi hicho kwenye balozi za Tanzania nchini Africa kusini…