Featured Posts

Wednesday, September 10, 2014

HAYA NDIYO MAMBO MATANO MUHIMU HUSIYOYAJUA KUHUSU DIVA WA CLOUDS FM

1. The moment nilipoendesha gari yangu kwa mara ya kwanza! I felt like it was about time kwa sababu nilijituma sana na ku save pesa na mwisho nikawa na la kwangu mwenyewe! No more taxis!!
2. The day I did the Turn up night pale Bilicanas. I felt so proud of myself. Ni kama nilikamilisha kitu fulani wonderful ambacho kilikuwa very financially beneficial kwangu.
3. The moment niliposoma kuwa nimetangazwa kuwa best female presenter kwa Tanzania. It  was just so fulfilling. Nilihisi kwamba jamii sasa
imeanza kunikubali na ku appreciate kazi ninayofanya day in, day out. Kukaa macho kila siku mpaka saa sita usiku au saa saba usiku mara nyingine na kujitahidi kufanya kipindi kiwe kizuri zaidi lakini kuamka saa tatu asubuhi so that naweza kufanya shughuli nyingine pamoja na kukutana na producer wangu ku plan the next show.
Diva-wa-Clouds-TV-2
4 .  Nilipofanya Diva Giving For Charity event ya kwanza kabisa Kuwasaidia orphans na less fortunate people ni kitu ambacho kimekuwa ndoto yangu. Mara zote nilikuwa natamani kufanya maisha yao yawe bora. So baada ya kupata chance ya kutumia my fame and platform as a public figure kuwasaidia, ni moja ya vitu ninavyoweza kujivunia kwenye maisha yangu. Napenda kuona nao wakitabasamu.
5. Nilipotangaza kwa mara ya kwanza. Ilikuwa katika kipindi cha Jahazi na Gadner G Habash alinipa nafasi kuongea hewani kwa mara ya kwanza. I felt like I had found my calling. Lengo langu kwenye maisha. Ni siku ambayo nadhani ilini define who I am now. I am very grateful.

TUMEAMIA HUKU