Featured Posts

Friday, September 5, 2014

Nick Cannon akana taarifa za kuwa na ugomvi na Mariah Carey, 'Nisingeweza kusema hivo'

Mchekeshaji Nick Cannon amekanusha taarifa
zilizotolewa wiki kadhaa zilizopita kuwa yeye na
mkewe Mariah Carey wana ugomvi mkubwa na
kwamba hawaishi nyumba moja kwa zaidi ya
miezi mitatu.
Nick Cannon ameonesha kuwa maelezo hayo
yalitengenezwa na hayakutolewa kwake na kwamba
yeye asingeweza kusema hivyo.
“Trouble in Paradise” is the dumbest phrase I’ve
ever heard! I would never say that s***” Ametweet
kwa hasira katika moja ya tweet yake.
Unaweza kujiuliza alikuwa wapi muda wote huo
kukanusha, lakini kwa kufahamu swali hili Nick
Cannon amelitolea majibu.
“Binafsi nimekuwa nje ya mitandao ya kijamii miezi
kadhaa iliyopita kwa sababu za kawaida lakini
najisikia hitaji la kutaka kuzungumzia.”

TUMEAMIA HUKU