Featured Posts

Monday, September 15, 2014

DIVA AFUNGUKA TENA KUHUSU ZITTO KABWE, ADAI WANAMZUSHIA

Gazeti la amani limetoa habari kwenye ukurasa wa mbele likimnukuu mtangazaji wa clouds fm diva akisema haya kuhusiana na zitto kabwe; “Zitto ni mume wangu”. Kupitia ukurasa wake wa instagram diva ameonyeshwa kushangazwa na habari hizi na kusema haya kuhusiana na swala hilo “Oh No. Man wtf ….at what time me nimeongea nao hawa? I hate this ….. i hate this. But why? Why are you guys doin this to me lakini? Had enough of this sasa. Mbona hivi lakini? But why mnanizushia hivi vitu? Saa ngapi nimeongea haya maneno mimi Maskini ya Mungu?


Diva-Zitto-Kabwe-vibe-co-tz

TUMEAMIA HUKU