Featured Posts

Monday, September 15, 2014

JUMBA JIPYA LA BIG BROTHER LAPATIKANA, SASA KUANZA RASMI, INGIA HAPA KUONA

M-Net na  Endemol Afrika kusini wanayofuraha kuthibitisha upatikanaji wa nyumba mpya ya Big Brother  katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini  baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba iliyokuwa itumike mnamo tarehe 2 mwezi wa 9 . Utafutaji wa nyumba mpya ulifanikiwa baada ya kuhangaika kutafuta nchini humo na nje ya nchi kwa nyumba itakayofaa kufanyia msimu wa 9 wa show kubwa kabisa Afrika.
rp_dillish-big-brother.jpg
M-Net na  Endemol Afrika kusini  wanafuraha kutangaza kwamba  Big Brother Hotshots itaanza siku ya jumapili , Tarehe 05 mwezi wa kumi saa moja kamili.

TUMEAMIA HUKU