Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.
MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY leo katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.