Featured Posts

Monday, September 8, 2014

NAY WA MITEGO AKIRI KUJIHUSISHA NA UFREEMASON ASEMA ANACHOANGALIA NI MKWANJA TU


Rapper Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alizusha maneno mengi kutokana na video ya wimbo wake  yenye mambo ya kutisha, amewajibu mashabiki wake kwamba hajali kuhusishwa na ufreemason ilimradi anaingiza pesa anayoitaka.Akizungumza na kituo cha redio cha Victoria FM kilichopo mjini Musoma, Nay amesema amekuwa akipokea maswali mengi yakitaka kujua kama anajihusisha na jamii ya siri ya freemason kutokana na matendo yake.



Mimi sijali kama najihusisha na freemason, naangalia jinsi gani naingiza pesa  na huu ndio aina ya muziki wangu na kuna mambo makubwa zaidi yanakuja. Muziki wangu na maisha yangu kama yanahusishwa na freemason lakini ninachojali ni pesa tu, aliseMA

TUMEAMIA HUKU